Redio : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
dNo edit summary
Mstari 44:
Hata hivyo redio za mikoani na wilayani zimekuwa zikitoa changamoto kubwa kwa zinazosikika nchi nzima.
 
Mkoa mmoja unaweza kuwa na redio zisizopungua mbili hivyo unaweza kuona ni kwa kiasi gani redio za nchi nzima zinavyopata changamoto katika matangazo yake. Kwa mfano; mkoa wa Mbeya (Nyanda za Juu Kusini) una redio kama vile Mbeya FM, Bomba FM, Generation, Southern Highlands, Rock FM, Baraka FM na Ushindi FM.
 
Kwa mfano; mkoa wa Mbeya (Nyanda za Juu Kusini) una redio kama vile Mbeya FM, Bomba FM, Generation, Southern Highlands, Rock FM, Baraka FM na Ushindi FM.
 
Mkoa wa Dar es Salaam ambao unasifika kwa umahiri wake wa kibiashara ndio wenye redio nyingine kubwa na ndogo zikiwamo TBC Taifa, TBC FM, Radio One Stereo, Capital Radio, E-FM, Clouds FM na City FM.
 
Pia hata zilizoko nje ya mkoa wa Dar es Salaam zinapambana kila kukicha kuhakikisha zinakuwa na studio nyingine kwenye jiji hilo lenye idadi kubwa ya watu nchini Tanzania. Kwa mfano RFA na Kiss FM zinarusha matangazo yake kutoka jijini Mwanza (Kanda ya Ziwa Victoria), lakini kutokana na ushindani uliopo zimejikuta zikiweka studio nyingine jijini Dar es Salaam ili kupambana na ushindani huo.
 
Kwa mfano RFA na Kiss FM zinarusha matangazo yake kutoka jijini Mwanza (Kanda ya Ziwa Victoria), lakini kutokana na ushindani uliopo zimejikuta zikiweka studio nyingine jijini Dar es Salaam ili kupambana na ushindani huo.
 
Kwa upande mwingine ushindani unatoka kwa wanaofanya kazi ambao ni watangazaji, ambao kila mmoja anatafuta namna ya kupata wasikilizaji wa vipindi vyake.