Redio : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
Mstari 30:
Katika Katiba ya mwaka 1977 kifungu kidogo cha kwanza (1) na cha pili (2); " (1) Bila ya kuathiri sheria za nchi, kila mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa nje mawazo yake, na kutafuta, kupokea na kutoa habari na dhana zozote kupitia chombo chochote bila ya kujali mipaka ya nchi, na pia ana uhuru wa mawasiliano yake kutoingiliwa kati.(2) Kila raia anayo haki ya kupewa taarifa wakati wote kuhusu matukio mbalimbali nchini na duniani kote ambayo ni muhimu kwa maisha na shughuli za wananchi, na pia juu ya masuala muhimu kwa jamii.”
 
Redio Tanzania Dar es Salaam (RTD), ndio redio ya kwanza ya taifa hilOhilo, ambayo sasa inajulikana kama TBC (Tanzania Broadcasting Coorporation) baada ya kufanyiwa mabadiliko kadhaa. Ilianzishwa mwanzoni mwa miaka ya 1970.
 
Kuna redio binafsi kubwa zinazosikika nchi nzima katika mikoa takribani ya thelathini (30), kama vile Radio Free Africa (RFA), Kiss FM, Radio One Stereo na Clouds FM.