Kangi Alphaxard Lugola : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 26:
==Elimu==
Kangi alianza masomo ya shule ya msingi katika shule ya msingi ya Nyabitwebili kuanzia mwaka 1974 mpaka 1977 akasoma pale kuanzia darasa la kwanza hadi la nne na kisha akahamia Shule ya Msingi Mugeta ambapo alisoma pale kwa mwaka mmoja (1978), alipofunga Shule kwa mwaka uliofuata aliamua kwenda kumalizi madara ya sita na saba katika shule ya Msingi Kafunjo, huo ulikuwa mwaka 1979 hadi 1980 hapo ndipo alipohitimu Elimu ya Darasa la saba na hivyo kutunukiwa cheti cha Elimu ya Msingi. Mwaka 1981 alijiunga na Shule ya sekondari ya Sengerema (Sengerema Secondary School) hadi mwaka 1984 alipohitimu Elimu ya sekondari na
==Kuhusu kuajiriwa==
|