Tofauti kati ya marekesbisho "Catalonia"

10 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
[[Picha:NASA Satellite Catalonia.jpg|thumb|Catalonia]]
'''Catalonia''' ni [[jumuiya]] ya [[uhuru]]kujitegemea nchini [[Hispania]] upande wa [[kaskazini]]-[[mashariki]] mwa [[Rasi ya Iberia]], iliyochagua kuwa [[taifa]] huru, lakini [[serikali kuu]] ya Hispania imezuia kabisa.
 
Imepakana na [[Ufaransa]] na [[Andorra]] kwa upande wa [[kaskazini]], [[Bahari]] ya Mediterania[[Mediteranea]] kwa upande wa [[mashariki]] na [[Valencia]] kwa upande wa [[kusini]]. [[Lugha rasmi]] ni [[Kikatalani]], [[Kihispania]], na [[lugha]] ya Aranese ya Occitan.
 
Catalonia ina ya [[mikoa]] minne: [[Barcelona]], [[Girona]], [[Lleida]], na [[Tarragona]].