Kiserbokroatia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d fix homoglyphs: convert Latin characters in [c]рпскохрватски to Cyrillic
Mstari 1:
[[File:Serbo croatian language2005.png|thumb|right]]
[[File:Serbo croatian languages2006.png|thumb|right]]
'''Kiserbokroatia''' iliyoitwa pia '''Kikroatoserbia''' (halafu pia "Kiserbia au Kikroatia" na "Kikroatia au Kiserbia" - srpskohrvatski au cрпскохрватскисрпскохрватски au hrvatskosrpski au hrvatski ili srpski au srpski ili hrvatski) ilikuwa lugha rasmi ya [[Yugoslavia]] pamoja na [[Kislovenia]] na [[Kimasedonia]].
 
Wakati wa Ufalme na baadaye Jamhuri ya Yugoslavia '''[[Kiserbia]] na [[Kikroatia]]''' zilitazamia kama lahaja za lugha moja iliyoendelea kwa karne nyingi katika eneo lililotengwa kisiasa. Taifa jipya ya Yugoslavia lilitaka kuunganisha lahaja za karibu za Wakroatia, Waserbia na Wabosnia. Hii ilikuwa mpango wa kuunda lugha sanifu ya kisasa na kujenga umoja wa kitaifa.