Kujenga mwili : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Kujenga Mwilimwili'''i ni matumizi[[Mazoezi ya mwili|mazoezi]] yanayofanywa ili kudhibiti na kukuza [[misuli]]. Wanaojenga misuli siosi tu mazoezi wanayofanya bali pia hutumia liche[[lishe]] maalum ilikuipaili kuipa milimiili yao jamiiaina yaza [[chakula]], na [[madini]] yanayohitajika. Kujenga [[mwili]] ni mchakato mgumu unaochukua [[muda]] na huhitaji [[nidhamu]] ya hali ya juu ili kufanikisha. Hivyo zoezikuufanikisha, hilihivyo limewashindaumewashinda wengi.
 
Watu hujenga milimiili kwa sababu tafauti,tofauti: sababu za kikazi kwa wale ambao hufanya [[kazi]] zinazohitaji nguvu ya kimwili kama [[wanajeshi]], kutumia wakati wa ziada, na pia kushilikikushiriki [[mashindano]] ya kujenga mwili. WanaoshilikiWanaoshiriki mashindano ya kujenga mwili hushikilihushikilia mazoezi ya kujenga misuli kwa kina na wananidhamuwana nidhamu ya hali ya juu. Mashindano hayahayo hufanywa kati ya nchi tofauti, [[bara]] na hata dunianiya [[dunia]] nzima. Mashindano kama ya "''[[:en:International_Federation_of_BodyBuilding_&_Fitness|International Federation of Body Builders -IFBB]] ya [[tuzo]] la [[:en:Mr._Olympia|Mr. Olimpia]]''", na "[[:en:National_Amateur_Body-Builders'_Association|National Armature Body-Builders Association NABBA]] ya tuzo la [[:en:Universe_Championships|Universe Championships]]" ni moja wapomojawapo ya mashindano ya kujenga misuli yanayojulikana dunia mzima.
 
== Historia ya Kujenga Mwilimwili ==
Zoezi la kuinua [[mawe]] ili kujenga misuli lilifanyika zama za kale nchini [[Misri]], [[Ugiriki]] na Tamilakam.<ref>{{cite web|url=http://www.thehindu.com/features/magazine/locked-horns-and-a-flurry-of-feathers/article4294435.ece|title=Locked horns and a flurry of feathers|first=D.|last=Karthikeyan|date=January 12, 2013|publisher=|via=www.thehindu.com}}</ref> Upande wa [[magharibi]] katika nchi za [[Ulaya]] zoezi hili lilinawilililinawiri kati ya [[mwaka]] wa [[1800]] na [[1953]] wakati wanume[[wanaume]] wa miraba walionyesha [[ubingwa]] wao na kushindana hadharani. Hata hivyo, wakati ule washindi hawakushindina ujenzi wa misuli bali walishindana ukubwa kwani atahata wenye vitambi[[unene wa kupindukia|kitambi]] walishiriki. <ref>{{cite book|author=Schwarzenegger, A.|title=The New Encyclopedia of Bodybuilding|year=1999|location=Fireside, NY|isbn=0684857219|publisher=Simon & Schuster}}</ref>
 
Hivi leo mashindano ya kujenga misuli yamekomaa yakishirikisha siosi tu wanaume bali pia [[wanawake]]. Mwaka wa [[2000]] mashirika husika ya kujenga misurimisuli yalijaribu kupiga hatua kushirikisha [[mchezo]] huu [[Olimpiki]] lakini hawakufaulu.<ref>{{cite web
|last=Littman|first=Jean|title=Bodybuilding And The Olympics: An Ongoing Controversy|work=|publisher=article99.com|url=http://www.article99.com/recreation-and-sports/olympics/article.php?art=63758|archive-url=https://web.archive.org/web/20071205174022/http://www.article99.com/recreation-and-sports/olympics/article.php?art=63758|dead-url=yes|archive-date=December 5, 2007|doi=|date=November 13, 2007}}</ref>
 
== Taratibu za Kujenga Mwilimwili ==
Wataaramu[[Wataalamu]], mashirika tofauti tofaustitofautitofauti na jimu wanataratibuwana tofautitaratibu tofautitofautitofauti za kujenga misuli. Hata hivyo taratibu hizi hutofautianihutofautiana kidogo. Mambo muhimu ya kufuatilia ni:
* mazoezi ya kuinua [[chuma]]
* [[chakula]] chenye wingi wa karolikalori
* utumizi wa [[virutubisho]] (kama Keretini na Protini ya Whey)
* ukulajiulaji wa [[protini]]
* kupumzisha mwili vizuri baada ya zoezi
* Kutoshiriki mazoezi ya Cardio <ref>{{Cite news|url=https://www.approachingfitness.com/how-to-lose-weight-and-gain-muscle/|title=Kurejesha Mwili: Jinsi ya kupunguza uzani na kuongeza kilo|last=Eric|first=|date=2018-03-25|work=Kukaribia Mwili wenye afya|access-date=2018-06-26|language=en-US}}</ref>
Mstari 27:
* [https://www.approachingfitness.com/how-to-lose-weight-and-gain-muscle// Kurejesha Mwili: Jinsi ya kupunguza uzani na kuongeza kilo]
 
{{Mbegu-utamaduni}}
 
[[Jamii:MazoeziAfya]]
[[Jamii:kujenga misuliMwili]]
[[Jamii:Misuli]]