Kasi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q3711325 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
'''Kasi''' ya gimba ni umbali uliotembelewa nalo kwa muda fulani. Gimba lenye kasi kubwa linapita njia kwa muda mdogo; kama kasi yake inapungua gimba litahitaji muda zaidi kwa njia hiyohiyo. Kasi ni kipimo cha mwendo wa kitu.
 
Katika [[fizikia]] alama ya kasi ni '''v''' (kutoka [[Kilat.]] ''velocitas'' / [[Kiing.]] ''velocity'').
 
Hesabu yake hufuata fomula Kasi "v" ni umbali "d" gawa kwa wakati "t":
:<math>v = \left|\frac {d}{t}\right|.</math>
 
Kuongezeka kwa kasi huitwa [[mchapuko]] (au mchapuo, kiing. ''acceleration)''. Kupungukiwa kwa kasi ni [[mchapuohasi]] (kiing. ''deceleration'').
 
Mfano: Gari linatembea kwa muda wa saa moja bila kikwazo chochote kwa mwendo usiobadilika. Kama limepita njia ya kilomita 80 katika kipindi hiki tunasema kasi ya gari ni [[kilomita]] 60 kwa [[saa]] au 60 [[km/h]].
Mstari 26:
*[[dunia]] yetu (pamoja na viumbe vyote juu yake) huwa na kasi ya kilomita 107,280 kwa saa ikizunguka jua.
*mwendo mkubwa ulimwenguni ni [[kasi ya nuru]] inayopita kilomita 299,792 kwa kila sekunde.
 
==Kasi na kasimwelekeo==
Tofauti na kasi (ing. ''speed'') ni [[kasimwelekeo]] (pia: velositi. ing. ''velocity''). Kwa hiyo inataja kasi pamoja na mwelekeo. Alama yake ni <math>\vec v </math>.
 
[[Category:Vipimo]]