Kasi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Kasi''' ya [[gimba]] ni [[umbali]] uliotembelewauliotembewa nalo kwa [[muda]] fulani. Gimba lenye kasi kubwa linapita njia kwa muda mdogo; kama kasi yake inapungua gimba litahitaji muda zaidi kwa njia hiyohiyo. Kasi ni [[kipimo]] cha [[mwendo]] wa [[kitu]].
 
Katika [[fizikia]] [[alama]] ya kasi ni '''v''' (kutoka [[Kilat.Kilatini]] ''velocitas'').
 
[[Hesabu]] yake hufuata [[fomula]] Kasi "v" ni umbali "d" gawa kwa [[wakati]] "t":
:<math>v = \left|\frac {d}{t}\right|.</math>
 
Kuongezeka kwa kasi huitwa [[mchapuko]] (au mchapuo, kiing.kwa [[Kiingereza]]: ''acceleration)''. KupungukiwaKupungua kwa kasi ni [[mchapuohasi]] (kiing.kwa Kiingereza: ''deceleration'').
 
Mfano: [[Gari]] linatembea kwa muda wa [[saa]] [[moja]] bila kikwazo chochote kwa mwendo usiobadilika. Kama limepita njia ya kilomita 80 katika kipindi hiki tunasema kasi ya gari ni [[kilomita]] 60 kwa [[saa]] au 60 [[km/h]].
 
==Kipimo cha kasi==
[[Kipimo sanifu cha SI]] kwa kasi ni [[mita]] kwa [[sekunde]]. Kwa miendo ya kila [[siku]], hasa ya [[vyombo vya usafiri]], kipimo cha kawaida ni km/h.
 
Katika nchi zinazotumia kipimo cha [[maili]] kuna pia maili kwa saa.
 
==Mifano ya kasi:==
Mstari 28:
 
==Kasi na kasimwelekeo==
Tofauti na kasi (ing.kwa Kiingereza: ''speed'') ni [[kasimwelekeo]] (pia: velositi.; ing. ''velocity''). Kwa; hiyo inataja kasi pamoja na mwelekeo wake. Alama yake ni <math>\vec v </math>.
 
{{mbegu-fizikia}}
 
[[Category:Vipimo]]