Paroko : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 19 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q955464 (translate me)
dNo edit summary
Mstari 2:
 
Jina hilo linatokana na [[Kigiriki]] cha zamani πάροικος (''pàroikos''), ambapo asili ni kitenzi παρà οἰκεω (''parà oikéo''), yaani "kuishi jirani", "kuishi kandokando", kulingana na Askofu aliyeishi mbali, katika [[Kanisa kuu]].
[[Picha:Parroco e presbitero don Apollinaris Mashughuli Massawe di Campora San Giovanni.jpg|thumb|Paroko wa [[Campora San Giovanni]], Apollinaris Mashughuli Massawe wa [[Tanzania]]]]
 
Katika [[Kanisa Katoliki]] la Kilatini [[huduma]] ya maparoko inaratibiwa na [[Mkusanyo wa Sheria za Kanisa]] katika kanuni 519-534.