Paroko : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Parroco e presbitero don Apollinaris Mashughuli Massawe di Campora San Giovanni.jpg|thumb|Paroko wa [[Campora San Giovanni]], Apollinaris Mashughuli Massawe wakutoka [[Tanzania]].]]
Paroko ni [[upadri|padri]] aliyekabidhiwa na [[Askofu]] uchungaji wa [[parokia]].
{{Ukristo}}
'''Paroko''' ni [[upadri|padri]] aliyekabidhiwa na [[Askofu]] [[uchungaji]] wa [[parokia]], ambayo ni sehemu ya [[Dayosisi|jimbo]].
 
[[Jina]] hilo linatokana na [[Kigiriki]] cha zamani πάροικος (''pàroikos''), ambapo [[asili]] ni [[kitenzi]] παρà οἰκεω (''parà oikéo''), yaani "kuishi jirani", "kuishi kandokando", kulingana na Askofu aliyeishi mbali, katika [[Kanisa kuu]].
[[Picha:Parroco e presbitero don Apollinaris Mashughuli Massawe di Campora San Giovanni.jpg|thumb|Paroko wa [[Campora San Giovanni]], Apollinaris Mashughuli Massawe wa [[Tanzania]]]]
Katika [[Kanisa Katoliki]] la Kilatini [[huduma]] ya maparoko inaratibiwa na [[Mkusanyo wa Sheria za Kanisa]] katika kanuni 519-534.
 
Katika [[Kanisa Katoliki]] [[Kanisa la Kilatini|la Kilatini]] [[huduma]] ya maparoko inaratibiwa na [[Mkusanyo wa Sheria za Kanisa]] katika kanuni 519-534.
[[Category:Ukristo]]
 
{{mbegu-Ukristo}}
[[Jamii:Sheria za Kanisa]]
[[Category:Viongozi wa Kikristo]]