Penisilini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 15:
* Hatua ya kwanza katika biosynthesis ya Penisilini G ni condensation ya amino asidi L-α-aminoadipic,L-cysteine, L-valine kuwa tripeptide. Kabla ya condensing kuwa tripeptide,amino asidi L-valine itapitia epimerization na kuwa D-valine. Baada ya kondensation,tripeptide linapewa jina δ-(L-α-aminoadipyl)-L-cysteine-D-valine,inayojulikana pia kama ACV.Mmenyuko hii inapotokea,ni lazima tuongeze anzyme ACVS ya kusukuma matokeo,inayojulikana pia kama, ambayo pia hujulikana kama δ-(L-α-aminoadipyl)-L-cysteine-D-valine synthetase. Enzyme hii ya ACV inayosukuma matokeo inahitajika kwa uanzishi wa amino asidi hizo tatu kabla ya kondensation na epimerization ya kugeuza L-valine kuwa D valine.<br />
* Hatua ya pili katika biosynthesis ya Penisilini G ni kutumia enzyme kubadilisha ACV kuwa isoPenisilini N.Enzyme ni isoPenisilini N synthase na gene pcbC ndani yake. Tripeptide iliyoko kwa ACV kisha itapitia oxidation,ambayo inaruhusu mviringo iliyofungwa ili mviringo bicyclic itengenezwe. IsoPenisilini N ni dhaifu kati sana kwa haionyeshi kazi maalum ya antibiotiki.
* Hatua ya mwisho katika biosynthesis ya Penisilini G ni ubadilishi wa kikundi cha nyororo ya kando ili isoPenisilini N iwe Penisilini G.Kupitia kwa catalytic coenzyme isoPenisilini N acyltransferase (IAT), nyororo ya kando ya alpha-aminoadipyl ya isopenicillil N inaondolewa na kubadilishwa na Nyororo ya kando ya phenylacetyl.Mabadiliko hii inakuwa encoded na gene penDE, ambayo ni tofauti kipekee katikamchakato wakupata. <ref name="Regulation"/>
 
== Historia ==
Mstari 37:
Mnamo mwaka wa 1939, Mwanasayansi kutoka Australia Howard Walter Florey (baadaye Baron Florey) na timu ya watafiti [[Ernst Boris Chain]], AD Gardner, Norman Heatley, M. Jennings, J. Orr-Ewing na G. Sanders) katika chuo cha Sir William Dunn ya patholoja,chuo kikuu cha Oxford ilikuwa na maendeleo makuu katika kuonyesha matendo ya in vivo baktericidalgy ya Penisilini.Majaribio yao ya kutibu binadamu haikufanikiwa kwa sababu ya ukosefu kiasi cha Penisilini ya kutosha, (mgonjwa wa kwanza kutibiwa alikuwa Reserve Constable Albert Alexander), lakini wakaionyesha kuwa bila madhara na ya kufanya kazi vyema kwa panya.
 
Baadhi ya majaribio ya kutangulia ya Penisilini ilifanyika katika Radcliffe Infirmary huko Oxford,Uingereza. Majaribio haya yanaendelea kutajwa na baadhi ya vyanzo vya awali kama matibabu ya kwanza ya kutumia Penisilini,ijapokuwa majaribioya Paine yalifanyika mapema. <ref name="Wainwright, M & Swan, HT 1986 42–56"/> KAtika mwezi wa

Tarehe 14 Machi, mwaka wa 1942, John Bumstead na Orvan Hess kwa kutumia Penisilini waliokoa maisha ya mgonjwa aliyekuwa anafariki kutumia Penisilini.
 
=== Utengenezaji kwa wingi ===