Bamba la Uhindi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 25 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q499481 (translate me)
Mstari 4:
Bamba la Uhindi limepakana na [[bamba la Ulaya-Asia]], [[Bamba la Australia]], [[Bamba la Afrika]] na [[bamba la Uarabuni]].
 
Lilijisukuma chini ya bamba la Ulaya-Asia takriban miaka milioni 10 iliyopita na kusababisha kujikunja kwa ganda la dunia na kutokea kwa milima ya [[Himalaya]] na [[Karakoram]].
 
Bamba la Uhindi limepimwa kuwa na mwendo wa kuelekea kaskazini wa [[sentimita]] 5 kila mwaka. Linaendelea kusukuma dhidi ya bamba la Ulaya-Asia na kuikunja zaidi.