Ramadan (mwezi) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
Mstari 1:
{{Islam}}
[[Picha:هلال رمضان.jpg|thumb]].
 
'''Ramadhani''' au '''ramadan''', '''ramazani''' (kwa [[Kiarabu]] '''رمضان''') ni mwezi wa tisa katika [[Kalenda ya Kiislamu]] na mwezi wa [[saumu|kufunga]] katika [[Uislamu]] kuadhimisha ufunuo wa kwanza wa [[Korani|Quarani]] kwa [[Muhammad]]. Mwezi huu huwa na siku 29 au 30 kutegemeana na kuonekana kwa [[mwezi]].