Wakapuchini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q124862 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
'''Wakapuchini''' ni [[watawa]] [[Wafransisko]] wa [[Kanisa Katoliki]].
 
[[Idadi]] yao inapita ndugu [[wanaume]] 10,000 [[duniani]] kote wakiongozwa na ndugu [[Mauro Jöhri]] wa kanda ya [[Uswisi]]. Ni shirika la kiume la [[nne]] kwa wingi wa watawa duniani.
 
==Maana ya jina==
[[Jina]] linatokana na [[neno]] la [[Kiitalia]] "cappuccio", lenye maana ya kikofia kilichoshonwa kwenye [[kanzu]] yao ya [[rangi]] ya [[kahawia]].
 
==Historia==
[[Tawi]] hilo lilianzishwa na [[Mathayo wa Bascio]] pamoja na [[Ludoviko wa Fossombrone]] na [[Rafaeli wa Fossombrone]] [[mwaka]] [[1525]], ambao walilenga maisha ya kifukara kuliko yaliyofuatwa na [[Ndugu Wadogo]] wenzao.
 
[[Urekebisho]] huo, uliojitahidi sana kufuata kikamilifu [[kanuni ya Ndugu Wadogo]] na mifano ya [[mwanzilishi]], [[Fransisko wa Asizi]], ulipata kibali cha [[Papa Klementi VII]] mwaka [[1528]].
 
Baada ya hapo kutoka [[mkoa]] wa [[Marche]] shirika likaenea na kuzaa [[matunda]] mengi ya [[utakatifu]] kuanzia [[bradha]] [[Felix wa Cantalice]] hadi [[padri]] [[Pio wa Pietrelcina]].
 
==Takwimu==
Mnamo [[tarehe]] [[31 Desemba]] [[2011]], Wakapuchini dunialiduniani walikuwa 10.364, kati yao ma[[padri]]mapadri 6.968. Wako katika nchi 106: [[Afrika]] 1321; [[Amerika ya Kilatini]] 1720; [[Amerika ya Kaskazini]] 662; [[Asia]]-[[Oceania]] 2283; [[Ulaya]] 4378.<ref><nowiki>'</nowiki>''Analecta Ordinis Fratrum Minorum Capuccinorum'', [[Roma]]</ref>
 
==Tanbihi==
Mstari 22:
* [http://www.ofmcap.org/ Ordo Fratrum Minorum Capuccinorum], tovuti rasmi ya shirika
* {{web cite|url=http://www.newadvent.org/cathen/03320b.htm|title=Capuchin Friars Minor|work=[[Catholic Encyclopedia]]}}
{{mbegu-katoliki}}
 
[[Jamii:Wafransisko]]
[[Jamii:Mashirika ya kitawa]]