Orange Democratic Movement : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Orange Democratic Movement (ODM)''' au kwa jina kamili '''Orange Democratic Movement Party of Kenya''' ni chama cha kisiasa nchini [[Kenya]]. Kilianzishwa mwaka 2006 katika maandalizi ya uchaguzi wa bunge la Kenya 2007. Katika Agosti 2007 chama kilifarakana kati ya wafuasi wa [[Kalonzo Musyoka]] aliyeendelea kwa [[ODM-Kenya]] na maungano ya viongozi wengi zaidi pamoja na [[Raila Odinga]] walioendelea kama ODM. Sababu ya farakano ilikuwa swali la nani atakuwa mgombea wa urais upande wa ODM.
 
==KuraChanzo maalumuni yakambi wabungela juumachungwa katika kura ya katiba mpya==
Chanzo cha ODM ilikuwa kura maalumu ya wananchi ya 2005 kuhusu katiba mypa. Katiba ilipendekezwa na rais [[Mwai Kibaki]] na wafuasi wake. Wabunge wa [[LDP (Kenya)|LDP]] walipinga pendekezo la katiba pamoja na chama cha upinzani cha [[KANU]] chini ya [[Uhuru Kenyatta]]. Pande mbili katika kura hii zilipewa alama za ndizi (kambi ya "ndiyo") na chungwa (kambi ya "hapana").
 
Mstari 7:
 
==Kuunda chama na farakano==
Hapa waliamua kuandaa chama kipya pamoja na KANU kwa ajili ya uchaguzi wa 2007. Chama kiliundwa kwa jina la ODM-Kenya kwa sababu wakili Mugambi Imanyara asiyekuwa na uhusiano wowote na harakati aliwahi kuandikisha chama kwa jina hili. Hatua hii ilitazamiwa kama jaribio la kuzuia kwa kuandikisha chama kipya chemyewechenyewe.
 
KANU ilijiondoa kabla ya uchaguzi lakini viongozi kadhaa kama vile [[Musalia Mudavadi]] na William Ruto walibaki upande wa ODM.
 
Swali la kumteua mgombea wa urais iligawaliligawa ODM-Kenya kwa sababu viongozi mbalimbali walitaka kushika nafasi hii. Hii ilileta farakano kati ya ODM chinimakundi ya Raila Odinga na ODM-Kenya chini ya Kalonzo Musyoka.
 
==Matatizo ya majina==
Baada ya farakano kutokea swali la jina likajitokeza. OfisiKundi la Raila likawa kubwa zaidi. Lakini ofisi ya Msajili Mkuu wa Kenya ilidai kuwa haijapokea habari za wenye cheo waliochaguliwa hivyo jina la ODM-Kenya likabaki mkononi wa watu waliokuwaupandewaliokuwa upande wa Musyoka. Hapa kundi la Raila likaingia katikalikaanza majadiliano na wakili Imanyara aliyekabidhi jina la "ODM" kwao. <ref>[http://www.nationmedia.com/dailynation/nmgcontententry.asp?category_id=2&newsid=113575 ODM's bumpy ride to national limelight]</ref>. Inasemekana ya kwamba kambi la Odinga lililipa mamilioni kadhaa kwa jina hili. <ref>[http://kumekucha.blogspot.com/2007/08/mugambi-imanyara-mysterious-lawyer-who.html Mugambi Imanyara: The Mysterious Lawyer Who Registered ODM Original]</ref>.
 
==Uchaguzi wa 2007==