Forum for the Restauration of Democracy : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 10:
 
==Farakano 1992 juu ya uongozi==
Swali la nani atakuwa mgombea wa urais likaleta farakano kati ya Matiba na Odinga pamoja na wafuasi wao. Odinga aliondika kabla ya uchaguzi akianzisha chama cha [[Ford-Kenya]] na Matiba alibaki na [[Ford-Asili]]. Wamalwa pamoja na sehemu kubwa ya viongozi wa [[Waluhya]] alishikamana na Odinga. Farakano la baadayeFord-Asili likaonamwaka kutokea1997 kwalikaleta chamachaama cha tatu cha [[Ford-People]]<ref>[http://www.nationaudio.com/elections/politicalparties/Party1.htm Will Nyoike sell Nyachae? Nation 13-05-2002]</ref>.
 
Farakano hili lilihakikisha kushindwa kwa upinzani katika uchaguzi. Moi hakupata kura nyingi jula la kura 1,927,640 tu. Lakini kura zaidi ya milioni tatu za upinzani ziligawiwa kwa kundi zote tatu yaani Matiba (FORD-Asili) alimaliza na kura 1,354,856 votes, Kibaki (Democratic Party) na kura 1,035,507 na Odinga kwenye nafasi ya nne mwenye kura 903,866.
Mstari 16:
FORD ilibaki na sifa ya kihistoria ya kufungua milango ya demokrasia nchini kenya lakini haikufaulu mipango mengine.
 
<references />
 
[[Category:Vyama vya kisiasa Kenya]]