Motokaa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Ford.mondeo.mk3-black.front-by.ranger.jpg|thumb|'''Ford Mondeo''' ni motokaa ndogo ya kubeba abiria wachache, kwa mfano [[familia]] ndogo.]]
[[Picha:WA SES Toyota Landcruiser.jpg|thumb|Magari kama Toyota Landcruiser hujengwa juu ya fremu ya lori dogo kwa kusudi la kubeba watu kwenye njia mbaya.]]
'''Motokaa''' (kutoka [[Kiingereza]] "motor car"<ref>maneno yale yana asili katika [[lugha]] ya [[Kilatini]]; "car" kutoka Kilat. ''carrus'' = gari na "motor" kutoka Kilat. ''movere'' = sogeza, hamisha yaani "mhamishaji, msukumaji"</ref>, mara nyingi huitwa tu '''gari''') ni chombo cha [[usafiri]] ambacho kwa kawaida kinatembeakinakwenda kwenye nchi kavu kikitumia nguvu ya [[injini]] au [[mota]] yake. Hata hivyo ziko zinazoweza kusafiri pia majini, na kwa sasa [[kampuni]] kadhaa [[duniani]] zinafanya utafiti wa kutengeneza motokaa ambazo zitakuwa zikitembea nchi kavu na pia kurukazikiruka [[Anga|angani]].
 
Kuna aina nyingi za motokaa;: magari madogo hubeba [[abiria]] tu na gari dogo la kawaida hubeba [[dereva]] pamoja na abiria hadi wanne. Magari makubwa kidogo hubeba hadi watu 8.
 
Mengine ya kubeba abiria ni [[Basi|mabasi]] ambayo ni pia aina ya motokaa lakini mara nyingi hutajwa kama [[kundi]] la pekee, sawa na [[Lori|malori]] ambayo ni motokaa kubwa za kubeba [[mizigo]]. Kuna kila aina ya mchanganyiko kati ya aina hizi.
 
[[Picha:Chassis with suspension and exhaust system.jpg|thumb||Fremu ya motokaa pamoja na magurudumu, bila injini wala bodi.]].
== Muundo ==
Motokaa huwa na [[injini]] (mota) inayosukuma [[magurudumu]] kupitia [[giaboksi]]. Injini pamoja na magurudumu na bodi hushikwa na fremu ya gari. Magari madogo ya kisasa huwa na bodi inayojibeba yenyewe bila fremu ya pekee. Motokaa nyingi huwa na magurudumu manne lakini magari mazito sana kama lori au basi mara nyingi huwa na magurudumu ya ziada.
 
Dereva hutumia mitambo ya kutawala motokaa ambayo ni hasa:
Mstari 47:
Maendeleo ya motokaa zilizotumia injini mwako ndani yalikuwa haraka. Mwanzoni yalikuwa na matatizo mengi hasa uhaba wa petroli. Benz alinunua mafuta kwa gari lake kwenye duka la dawa.
 
Mwaka 1892 mhandisi Mjerumani Rudolf Diesel alitunga injini inayochoma mafuta kwa kuikandamiza vikali na kutumia joto la hewa ndani ya injini kutokana na mshtuko wa kukandamizwa. Mashine hizi zina uwezo kutumia aina mbalimbali za mafuta na ile ya kawaida ilikuwa nzito kuliko petroli ikaitwa "diseli". Injini za diseli zamani hazikupendwa kwa magari madogo kutokana na sauti kubwa zaidi ya injini lakini zikawa kawaida kwa malori, mabasi na injini za meli kwa sababu zinatumia mafuta kidogo kuliko injini za petroli.
[[Picha:1926 Ford Model T Tudor Sedan FLA915.jpg|thumb||Gari la Ford T ya 1926]]
== Ushindi wa motokaa ==
Mstari 70:
Mwelekeo tofauti ni majaribio ya kutengeneza umeme njiani. Hapa kuna njia mbili hasa:
* Daimler-Benz na makampuni mengine yametengeneza magari yenye teknolojia mpya ya seli ya fueli inayotumia [[haidrojeni]][http://thomasnaef.info/convertible-car-seats/ .] Lakini hadi sasa nguvu yake haitoshi kwa magari ya kawaida. Utafiti unaendelea.
* hasa makampuni ya Japani yameshafaulu kutoa na kuuza magari chotara yanaounganisha injini ya umeme na injini ya petroli. Gari linaanza safari kwa nguvu ya beteri; beteri ikikwisha injini ya mafuta inawaka na kujaza beteribetri.
 
{{mbegu-fizikia}}
{{mbegu-uchumi}}
 
==Tanbihi==
Line 87 ⟶ 84:
* [https://www.pickup-world.com/how-to-set-up-car-lifts-routine-maintenance/ Moja ya teknolojia za kurepea magari]
* [https://auto.howstuffworks.com/flying-car.htm Kuhusu magari yanayoruka]
{{tech-stub}}
 
 
 
 
 
 
 
 
 
[[Jamii:Motokaa]]