Tofauti kati ya marekesbisho "FORD-Kenya"

50 bytes added ,  miaka 13 iliyopita
no edit summary
 
==Farakano ya Raila 1994==
Chama kiliona farakano tena 1994 Odinga alipoaga dunia. Katika mkutano wa chama Michael Wamalwa kutoka Kenya ya MAgharibi alichaguliwa kuwa mwenyekiti mpya akimshinda [[Raila Odinga]] mwana wa Jaramogi. Raila aliondoka katika FORD-K na kujiunga na chama kidogo cha [[National Development Party (Kenya)|National Development Party NDP]]. Wabunge wengi wa Ford-K kutoka Nyanza walimfuata Raila hivyo chama kilipungukiwa kikawa na nguvu hasa katika mkoa[[Mkoa wa magharibiMagharibi (Kenya)|Mkoa wa Magharibi]] kati ya [[Waluhya]].
 
Katika uchaguzi wa 1997 chama kilipata nafasi ya nne tu baada ya NDP.
Anonymous user