Mkoa wa Magharibi (Kenya) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 25:
'''Mkoa wa Magharibi''' (''Western Province'') ni mkoa mdogo kati ya mikoa ya [[Kenya]] ni pia mkoa mwenye msongamano mkubwa wa watu. Umepakana na [[Uganda]] na mikoa ya Kenya ya Nyanza na Bonde la Ufa.
 
Eneo lake ni 8,285 km² pekee kuna wakazi 3,569,400 hivyo hukaa zaidi ya watu 400 kwa kila kilomita ya mraba. Wakazi wa Magharibi ni hasa Abaluhya ([[Waluhya]]). Mji mkuu ni Kakamega.
 
Nchi ya mkoa limeenea kutoka vilima vya [[Bungoma]] mpakani wa Uganda hadi tambarare karibu na [[Ziwa Viktoria]]. Mlima mkubwa wa pili wa Kenya ni Mlima Elgon uko ndaniy a mkoa kwenye mpaka wa Uganda. Msitu wa Kakamega ni kati ya misitu asilia ya mwisho wa Kenya.