Mgonjwa : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Paratroopers Cheer Up Sick Kids at Indianapolis Hospitals DVIDS197305.jpg|thumb|Hii ni picha inayoonesha mgonjwa akiwa hospitali na wanajeshi wamemtembelea.]]
[[Picha:Hunger and sickness Madras.jpg|right|thumb|
'''Mgonjwa''' ni [[mtu]] aliyeingiliwa na [[maradhi]].
Mstari 8:
Pamoja na hayo, [[utu]] unadai kumpatia mgonjwa mahitaji yake mengine kwa [[mwili]] ([[chakula]] n.k.) na kwa [[nafsi]] (k.mf. [[pendo]] na [[faraja]]).
[[Dini]] mbalimbali zinaelekeza namna ya kumhudumia hadi mwisho. Kwa mfano [[Wakristo]] wa [[madhehebu]] mbalimbali wanamuombea na kumpatia [[sakramenti]], zikiwemo [[kitubio]], [[mpako wa wagonjwa]] na [[ekaristi]].
==Njia za maambukizi==
Line 18 ⟶ 20:
*Njia ya [[kujamiana]], mfano [[Ukimwi]] n.k.
==Tazama pia==
{{mbegu}}▼
* [[Mahututi]]
* [[Sadaruki]]
▲{{mbegu-tiba}}
[[Jamii:Tiba]]
|