Mkoa wa Magharibi (Kenya) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 27:
Eneo lake ni 8,285 km² pekee kuna wakazi 3,569,400 hivyo hukaa zaidi ya watu 400 kwa kila kilomita ya mraba. Wakazi wa Magharibi ni hasa Abaluhya ([[Waluhya]]). Mji mkuu ni [[Kakamega]].
 
Nchi ya mkoa limeenea kutoka vilima vya [[Bungoma]] mpakani wa [[Uganda]] hadi tambarare karibu na [[Ziwa Viktoria]]. Mlima mkubwa wa pili wa Kenya ni [[Mlima Elgon]] uko ndaniyndani aya mkoa kwenye mpaka wa Uganda. Msitu wa Kakamega ni kati ya misitu asilia ya mwisho wa Kenya.
 
Uti wa mgongo wa uchumi wa mkoa ni kilimo. Pamoja na [[kilimo cha kujikimu]] kuna pia mashamba makubwa ya chai na miwa. Kilimo na maliaili ni msingi wa viwanda vikubwa kama vile kiwanda cha sukari cha Mumias au kiwanda cha karatasi cha Webuye. Hata hivyo idadi kubwa ya wakazi ni maskini na wanaume wengi wameenda [[Nairobi]] au kwenye hoteli za pwani kwa kazi ya ajira.
 
== Wilaya ==