Shule : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
kuboresha na kuondoa dhana pendeleo.
Mstari 1:
[[Picha:Himo Holy Child PS 2012 Tamino.jpg|thumb|right|350px|Shule ya msingi ya Holy Child, Himo, [[Makuyuni (Monduli)]] - [[Tanzania]] <small>(picha ya Tamino Boehm)</small>]]
[[Picha:ZambianSchool2.JPG|thumb|right|350px|Shule ya Msingi mashambani nchini [[Zambia]]]]
'''Shule''' (kutoka [[Kijerumani]]: '''Schule'''; nchini [[KenyaTanzania]] na [[Kenya]], huko [[Zanzibar]]: huita '''skuli''' kutoka [[Kiingereza]] "school") ni [[taasisi]] ambako watu hufunzwa habari za [[elimu]]. Pia ni jina la [[Jengo|majengo]] yake.
 
Leo hii katika nchi nyingi watoto wanatakiwa waende shule kujifunza mambo ya msingi ambayo watayahitaji kwa maisha yao ya baadaye.