Fidla : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Violin VL100.png|thumbnail|250px|Fidla ya kisasa.]]
[[Picha:Best touches of music.jpg|250px|thumb|Mpiga fidla wa [[Tanzania]].]]
'''Fidla''' (kutoka [[Kiingereza]] ''fiddle''; pia: '''violini''', kutoka [[jina]] la [[Kiitalia]] ''violino'') ni [[ala ya muziki]] yenye [[nyuzi]]. [[Idadi]] ya nyuzi ni 4 zinazopigwa au zaidi kuchuliwa kwa [[uta]]. Nyuzi zinawekwa kwa kawaida kwa [[noti]] za G, D, A na E.
 
==Muundo wa fidla na matumizi yake==