Fidla : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 17:
Fidla kwa umbo la kisasa zimepatikana tangu [[karne ya 16]] na mwanzoni zilikuwa na nyaya 3 pekee, lakini tangu mnamo [[mwaka]] [[1600]] zilikuwa karibu sawa na ala za leo. [[Maendeleo]] hayo yalitokea katika [[Italia kaskazini]]. Baadaye mabadiliko madogo yaliendelea kufanywa.
[[fundi|Mafundi]] mashuhuri waliotengeneza fidla walikuwa pamoja na [[familia]] za [[Stradivari]], [[Guarneri]] na [[Amati]] katika Italia za karne za 16 hadi [[Karne ya 18|18]] huko [[Brescia]] na [[Cremona]] na akina [[Jakob Stainer]] huko [[Austria]]. Ala zilizotengenezwa nao zinatafutwa hadi leo na kutumiwa kwa muziki wa kihistoria.
 
Watunzi muziki wote mashuhuri wa [[Ulaya]] walitunga muziki kwa ajili ya fidla, ama katika [[okestra]] ama kama ala ya pekee.