Tofauti kati ya marekesbisho "Medard Matogolo Kalemani"

5 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
}}
 
'''Medard Matogolo Kalemani''' (amezaliwa [[15 Machi]] [[1968]]) ni [[mwanasiasa]] [[Mtanzania]] na mwanachama wa [[Chama cha kisiasa]] cha [[Chama Cha Mapinduzi]] (CCM). Amechaguliwa kuwa [[Wabunge wa Tanzania 2015|mbungeMbunge]] wa [[Chato]] kwakuanzia miakamwaka [[2015]] hadi [[2020]]. <ref>[http://www.parliament.go.tz/administrations/50 Tovuti ya Bunge la Tanzania], iliangaliwa Mei 2017</ref>
==Kuhusu Elimu==
'''Medard M. Kalemani''' alianza masomo ya msingi katika Shule ya Msingi Nyambogo mnamo mwaka 1978 na kumaliza darasa la saba mwaka 1984, mwaka 1985 alifanikiwa kujiunga na shule ya sekondari ya Kashororo mpaka mwaka 1988 ambapo alifanikiwa kuendelea na masomo ya juu ya Sekondari kuanzia mwaka 1989 hadi 1991 katika Shule ya Sekondari ya Milambo. Kuanzia mwaka 1993 hadi mwaka 1996 alifanikiwa kupata [[Shahada ya Awali]] ya Sheria ([[LLB]]) katika Chuo kikuu cha Dar es Salaam, Mwaka 2000 hadi 2002 alijinyakulia cheti cha [[Uzamili|Shahada ya Uzamili]] ([[LLM]]) kwenye sekta ya Madini na Nishati kutoka [[Dundee University|Chuo Kikuu cha Dundee]], '''Medard M. Kalemani''' hakuishia hapo kwani mnamo mwaka 2002 hadi 2006 alisoma tena katika [[Bedford University|Chuo Kikuu cha Bedford]], [[UK]] na kutunukiwa [[Uzamivu|Shahada ya Uzamivu]] ([[Phd]]) na kwakuzingatia elimu yake hiyo kwa sasa anaitumikia kama Waziri wa Nishati kwa dhamana aliyopewa na Rais Wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.
182

edits