Mauzo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
 
== Ufafanuzi ==
[[Mtu]] au [[shirika]] linaloonyesha nia ya kupata bidhaa ya [[thamani]] inayotolewa linajulikana kama mnunuzi au [[mteja]] mtarajiwa. Kununua na kuuza ni kamalile sawatendo la kubadilishana umiliki. Kununua ni kupokea umiliki wa kinacho uzwa ilhali kuuza ni kupitisha umiliki kwake mnunuzi baada ya malipo. Muuzaji na mnunuzi huafikiana ili kukamilisha ubadilishaji wa thamani.<ref name="seller">{{cite journal|title=Buyer Success and Failure in Bargaining and Its Consequences|first=C.|last=Putthiwanit|first2=S.-H.|last2=Ho|journal=Australian Journal of Business and Management Research|volume=1|issue=5|year=2011|pages=83–92}}</ref>
 
Katika mauuzo kunaweza kuwa na kujadiliana bei au bei inaweza kuwa isio batirika. Sana sana bei ya bidhaa au huduma huukuliwa na haja ya wanunuzi na wingi wake sokoni. Kwa biashara zinazolenga wanunuzi fulani hasa matajiri muuzaji anaweza kuiweka bei ya bidhaa bila kuzingatia bei ya ile bidhaa au huduma sokoni. <ref name="drugs">{{cite web|url=https://proceed2succeed.net/high-ticket-pricing-and-markets/|title=High Ticket Pricing and Markets|archiveurl=|author=Halder Salim|date=27 June 2018|editor=|language=en-US|publisher=|accessdate=24 July 2018|Web=Proceed2Succeed}}</ref>
 
== Mbinu ==