Tofauti kati ya marekesbisho "FORD-Kenya"

135 bytes added ,  miaka 13 iliyopita
no edit summary
'''FORD-Kenya''' (pia: '''FORD-K''') ni chama cha kisisasa nchini [[Kenya]]. Jina ni kifupi cha '''[[Forum for the Restauration of Democracy-Kenya]]'''. FORD-Kenya ilianzishwa 1992 baada ya farakano ya harakati ya FORD ya pamoja.
 
==Chanzo katika Ford ya awali==
FORD ([[Forum for the Restauration of Democracy]]) ilikuwa harakati ya kisiasa iliyopigania tangu 1991 iliyopigania kuruhusiwa kwa vyama vingi na demokrasia wakati wa utawala[[mfumo wa chama kimoja]] chana utawala wa [[KANU]] nchini Kenya. Rais [[Daniel arap Moi]] alilazimishwa na nchi za nje kukubali uchaguzi wa vyama vingi. Kabla ya uchaguzi wa 1992 FORD ilifarakana kati ya wafuasi wa viongozi [[Kenneth Matiba]] kutoka [[Mkoa wa Kati (Kenya)|Mkoa wa Kati]] na [[Jaramogi Oginga Odinga]] kutoka [[Mkoa wa Nyanza]]. Wafuasi wa Odinga waliunda FORD-Kenya. Wafuasi wa Matiba waliendelea kwa jina la [[FORD-Asili]].
 
Ford-K ilipata nafasi ya tatu katika uchaguzi wa rais 1991. Kutokana na farakano la upoinzani Moi alirudishwa kama rais.
Anonymous user