Shule : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
kuboresha na kuondoa dhana pendeleo.
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Himo Holy Child PS 2012 Tamino.jpg|thumb|right|350px|Shule ya msingi ya Holy Child, [[Himo]], [[Makuyuni]] ([[Monduli)]]) - [[Tanzania]] <small>(picha ya Tamino Boehm)</small>.]]
[[Picha:ZambianSchool2.JPG|thumb|right|350px|Shule ya Msingimsingi mashambani[[Kijiji|vijijini]] nchini [[Zambia]].]]
'''Shule''' (kutoka [[Kijerumani]]: '''Schule'''; nchini [[Tanzania]] na [[Kenya]], huko [[Zanzibar]]: huitahuitwa '''skuli''' kutoka [[Kiingereza]] "school") ni [[taasisi]] ambako watu hufunzwa habari za [[elimu]]. Pia ni [[jina]] la [[Jengo|majengo]] yake.
 
Leo hii katika nchi nyingi [[watoto]] na [[vijana]] wanatakiwa waende shule kujifunza mambo ya msingi ambayo watayahitaji kwa [[maisha]] yao ya baadaye.
 
Mambo hayo ni masomo. Kila [[somo]] lina fahamu zake tofauti katika kufundisha. Kwa mfano: [[kuandika]], [[kusoma]], na kuhesabu [[namba]] ([[hisabati]]).
 
Shule ni mahali ambapo watu hujifunza mambo mengi ambayo huwasaidia katika kuyakabili maisha hata kupata [[elimu]] juu ya jambo fulani. Elimu hiyo ndiyo itakayomsaidia kutatua jambo hilo.
 
[[Watu]] wengi husema kwamba elimu haina mwisho, wakimaanisha kuwa elimu inaweza kutolewa kwa watu wote bila kujali kama ni [[watoto]], [[vijana]], [[watu wazima]] hata [[wazee]].
 
Pia unaweza ukasema kwamba elimu ni [[ufunguo]] wa maisha ukimaanisha kuwa elimu ndiyo kila kitu kwenye maisha ya mwanadamu kwa kuwa huwezi kutatua tatizo fulani bila kupata elimu juu ya tatizo hilo.
 
Watu wanaopatikana shuleni ni wa aina tatu: [[wanafunzi]], [[walimu]] na [[wafanyakazi]] wengine wanaotunza [[Jengo|majengo]] na [[vifaa]].
 
Katika nchi nyingi masomo ya shule hupangwa kwa ngazi kufuatana na [[umri]] wa wanafunzi:
# Shule ya [[chekechea]] au vidudu au watoto wadogo chini ya umri wa miaka 6
# [[Shule ya Msingimsingi]] kuanzia umri wa miaka 6 kwa muda usiopungua 4 hadi 8
# Shule ya Sekondari[[sekondari]] (huitwa pia "Shule ya Upiliupili") inayofuata baada ya shule ya msingi inawafunza wanafunzi hadi umri wa miaka 17, 18 au zaidi. Kwenye ngazi ya sekondari kuna mikondo mbalimbali inayoweka uzito kwa maeneo tofauti-tofautitofautitofauti ya elimu kadiri ya vipaji na uwezo wa wanafunzi.
 
Ngazi ya juu inayopatikana katika mfumo huu ni mtihani unaoandaa kwa kuingia katika ngazi ya juu ya elimu kwenye [[vyuo]] na [[Chuo Kikuu]].
Mstari 26:
Pamoja na hayo kuna shule zinazowalenga watu wazima au watu ambao hawakuendelea moja kwa moja katika elimu yao.
 
Nchi kadhaa huweka mkazo kwa [[shule ya ufundi]] inayolenga kuwapa wanafunzi wake elimu nzuri katika [[fani]] fulani ya kibiashara[[biashara]] au kifundi[[ufundi]].
 
Upatikanaji wa shule ni sehemu muhimu za [[miundombinu]] wa kila nchi.
 
Upatikanaji wa shule ni sehemu muhimu zaya [[miundombinu]] wa kila nchi.
 
{{mbegu-elimu}}