Jiji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:NYC wideangle south from Top of the Rock.jpg|thumb|300px|Jiji la [[New York]] ni maarufu kwa maghorofa yake marefu.]]
[[Picha:Rocinha Favela.jpg|thumb|300px|[[Rio de Janeiro]] ni jiji maarufu kwa uzuri wake lakini sehemu ya wakazi wake hukalia mitaa ya vibanda.]]
'''Jiji''' ni [[mji]] mkubwa. Kuna tofauti kati ya nchi na nchi ni sifa gani pamoja na ukubwa gani zinazofanya mji kuwa mji mkubwa au jiji.
 
== Majiji ya Afrika ya Mashariki ==
Nchini [[Tanzania]] ni [[Dar es Salaam]] pamoja na [[Arusha]], [[Dodoma]], [[Mbeya]], [[Mwanza]] na [[Tanga]], inayoitwa "jiji"; nchini [[Kenya]] ni [[Nairobi]] pamoja na [[Mombasa]] na [[Kisumu]]. Kati ya miji hiyo ni Nairobi na Dar es Salaam pekee yenye wakazi zaidi ya [[milioni]] [[mojambili]].
 
== Mji mkubwa kwa kanuni za takwimu ==
Mstari 40:
 
[[Jamii:Miji| ]]
[[Jamii:Demografia]]