Nyama : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Uchumi wa nyama: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|es}} using AWB (10903)
No edit summary
Mstari 2:
'''Nyama''' ni sehemu za mwili wa wanyama zinazoliwa kama [[chakula]].
 
Kwa watu wengi nyama ni chakula muhimu kwa sababu ina [[protini]] nyingi ndani yake pamoja na mafuta. Nyama huliwa baada ya kuipika, kuchoma au kukaanga. Kuna sehemu za dunia ambako watu wamezoea kula nyama bichimbichi wakiteua sehemu lainilaini kwa mfano nyama ya kusagwa au [[maini]].
 
== Uchumi wa nyama ==
Gharama ya nyama ni kubwa kushinda chakula cha mboga kwa sababu kiuchumi nyama ni mboga uliobadilishwailiyobadilishwa umbo. Njia yake ni wanayama kula majani na majani haya yakikuza mnyama huwa nyama baada ya kuchinjakuchinjwa. Kwa njia hiyo kilogramu moja cha protini ya nyama huhitaji kilogramu 5 hadi 10 protini ya mboga kama lishalishe ya wanyama. Kwa lugha nyingine [[ekari]] zinazolisha wanyama yawa kushibisha watu 100 zinaweza kulisha watu 500 hadi 1,000 kwa njia ya [[nafaka]] au [[maharagwe]] n.k.
 
Katika mazingira asilia hii si tatizo kubwa kwa sababu maeneo yabisi hayakufaa kwa kilimo lakini wafugaji wahamiaji waliweza kuzunguka hapa na wanyama wao ilhali nchi yenye mvua na rutba ilitumiwa kwa kilimo cha mimea ya kulisha watu.
 
Kilimo cha kisasa kimebadilisha muundo huu kwa sababu sehemu kubwa ya mavuno hutumiwa kwa lishe ya wanyama. Tatizo lake linaonekana pale ambako nchi tajiri kama Marekani au Ulaya zinanunua nafaka au maharagwe kote duniani kama lishe ya wanyama wao. Kwa njia hii wanaweza kupandisha bei ya vyakula hivi na wakazi maskini wanaona bei ya vyakula zinapanda kushinda uwezo wao.
 
== Historia ==
=== Historia ya uzalishaji wa nyama ===
 
Uthibitisho wa [[Paleotolojia]] unaonyesha kuwa nyama ilikuwa sehemu kubwa ya chakula cha binadamu toka kale. Jamii za kale za wawindaji zilipata nyama kwa kuwinda wanyama wakubwa kama [kulungu]]
 
Wanyama ambao sasa ni vyanzo vikuu vya nyama walianza kuliwa toka mwanzo wa maendeleo ya ustaarabu:
 
* [[Kondoo]] wanatoka Asia ya magharibi.
* [[Ng'ombe]] wana asili ya Mesopotamia baada ya kuanzishwa kwa nyanja ya kilimo.
* [[Nguruwe]] wanaaminika kutoka katika nchi inayojulikana siku hizi kama Hungary.
 
{{commonscat|Meats|Nyama}}