Nyama : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:FoodMeat.jpg|right|300px|thumb|Nyama ya wanyama kadhaa.]]
'''Nyama''' ni sehemu za [[mwili]] wa [[wanyama]] zinazoliwa kama [[chakula]] au [[kitoweo]].
 
Kwa [[watu]] wengi nyama ni chakula muhimu kwa sababu ina [[protini]] nyingi ndani yake pamoja na [[mafuta]]. Nyama huliwa baada ya kuipika, kuchoma au kukaanga. Kuna sehemu za [[dunia]] ambako watu wamezoea kula nyama mbichi wakiteua sehemu lainilaini, kwa mfano nyama ya kusagwa au [[ini|maini]].
 
== Uchumi wa nyama ==
[[Gharama]] ya nyama ni kubwa kushinda chakula cha [[mboga]] kwa sababu kiuchumi nyama ni mboga iliyobadilishwa [[umbo]]. Njia yake ni wanayama[[wanyama]] kula [[majani]] na majani haya yakikuza mnyama huwa nyama baada ya kuchinjwa. Kwa njia hiyo [[kilogramu]] [[moja]] chaya protini ya nyama huhitaji kilogramu 5 hadi 10 za protini ya mboga kama [[lishe]] ya wanyama. Kwa [[lugha]] nyingine [[ekari]] zinazolisha wanyama wa kushibisha watu 100 zinaweza kulisha watu 500 hadi 1,000 kwa njia ya [[nafaka]] au, [[maharagwe]] n.k.
 
Katika [[mazingira]] asilia hiihili si tatizo kubwa kwa sababu maeneo [[yabisi]] hayakufaa kwa [[kilimo]] lakini [[wafugaji]] wahamiajiwa kuhamahama waliweza kuzunguka hapahuko na wanyama wao ilhali nchi yenye [[mvua]] na rutba[[rutuba]] ilitumiwa kwa kilimo cha [[mimea]] ya kulisha watu.
 
Kilimo cha kisasa kimebadilisha muundo huuhuo kwa sababu sehemu kubwa ya [[mavuno]] hutumiwa kwa lishe ya wanyama. Tatizo lake linaonekana pale ambako nchi [[tajiri]] kama [[Marekani]] au zile za [[Ulaya]] zinanunua nafaka au maharagwe kote duniani kama lishe ya wanyama wao. Kwa njia hiihiyo wanaweza kupandishawanasababisha [[bei]] ya vyakula hivi nakupanda hata wakazi [[maskini]] wanaona bei ya vyakula zinapanda kushinda uwezo wao.
 
== Historia ==
Uthibitisho wa [[PaleotolojiaPalantolojia]] unaonyesha kuwa nyama ilikuwa sehemu kubwa ya chakula cha binadamu toka kale. Jamii za kale za wawindaji zilipata nyama kwa kuwinda wanyama wakubwa kama [kulungu]]
=== Historia ya uzalishaji wa nyama ===
 
Wanyama ambao sasa ni vyanzo vikuu vya nyama walianza kuliwa toka mwanzo wa [[maendeleo]] ya [[ustaarabu]]:
Uthibitisho wa [[Paleotolojia]] unaonyesha kuwa nyama ilikuwa sehemu kubwa ya chakula cha binadamu toka kale. Jamii za kale za wawindaji zilipata nyama kwa kuwinda wanyama wakubwa kama [kulungu]]
 
* [[Kondoo]] wanatoka [[Asia ya magharibiMagharibi]].
Wanyama ambao sasa ni vyanzo vikuu vya nyama walianza kuliwa toka mwanzo wa maendeleo ya ustaarabu:
* [[Ng'ombe]] wana asili ya [[Mesopotamia]] baada ya kuanzishwa kwa nyanja ya kilimo.
 
* [[Nguruwe]] wanaaminika kutoka katika nchi inayojulikana siku hizi kama Hungary[[Hungaria]].
* [[Kondoo]] wanatoka Asia ya magharibi.
* [[Ng'ombe]] wana asili ya Mesopotamia baada ya kuanzishwa kwa nyanja ya kilimo.
* [[Nguruwe]] wanaaminika kutoka katika nchi inayojulikana siku hizi kama Hungary.
 
==Viungo vya nje==
{{commonscat|Meats|Nyama}}
{{mbegu-biolojia}}