Italia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Replacing Flag_of_the_Italian_region_Sardinia.svg with File:Flag_of_Sardinia,_Italy.svg (by CommonsDelinker because: File renamed:).
No edit summary
Mstari 15:
| [[Rais]] || [[Sergio Mattarella]]
|----
| [[Waziri Mkuu]] || [[PaoloGiuseppe GentiloniConte]] <!--[[Picha:Stop_hand.png]]-->
|----
| [[Eneo]] || 301.338 [[km²]]
|----
| [[Wakazi]] || 60,674579,003000 (31-7-20152017) (23º duniani)
|----
| [[Wakazi kwa km²]] || 201.7
Mstari 43:
| colspan="2" | [[Picha:Satellite image of Italy in March 2003.jpg|thumb|320px|right|Italia jinsi inavyoonekana kutoka [[anga]]ni]]
|}
'''Jamhuri ya Italia''' (kwa [[Kiitalia]]: ''Repubblica Italiana'') ni nchi ya [[Ulaya]] [[Kusini]] inayoenea katika sehemu kubwa ya [[Rasi ya Italia]] na baadhi ya [[visiwa]] vya jirani kwenye [[Bahari ya Kati]].
 
Eneo lake ni [[km²]] 301.338 ambalo lina wakazi 60,579,000 (1-1-2017): ni nchi ya 23 [[duniani]] kwa wingi wa watu, lakini ya 8 kwa [[uchumi]].
Mstari 49:
Imepakana na [[Ufaransa]], [[Uswisi]], [[Austria]] na [[Slovenia]].
 
[[Nchi huru]] [[mbili]] ndogo zinazozungukwa na eneo la Italia pande zote ni [[San Marino]] na [[Vatikano]].
 
[[Makao makuu]] ni [[jiji]] la [[Roma]], lenye umuhimu mkubwa katika [[historia]] ya [[dunia]] nzima.
 
==Jiografia==
[[Umbo]] la jamhuri, kama lile la [[rasi]] yake, linafanana na [[mguu]] linalozungukwa na [[maji]] ya [[Mediteraneo]] pande [[tatu]].
 
[[Milima]] ya [[Appennini]] inaunda [[uti wa mgongo]] wake na ile ya [[Alpi]], ambayo ni mirefu zaidi inaunda kwa kiasi kikubwa mpaka kati ya Italia na nchi nyingine za [[Ulaya]].
 
Mlima mrefu zaidi, ukiwa na [[mita]] 4,810 juu ya [[usawa wa bahari]], unaitwa [[Mont Blanc|Monte Bianco]] (Mlima Mweupe) na uko mpakani kwa Ufaransa.
 
[[Visiwa]] viwili vikubwa vya [[Sicilia]] na [[Sardinia]] ni sehemu za Italia pamoja na visiwa vingi vidogovidogo.

Italia ina [[volkeno]] 14, ambazo 4 kati yake ziko hai: ile ndefu zaidi kuliko zote za Ulaya (mita 3,329) inaitwa [[Etna]] na iko [[mashariki]] mwa Sicilia.
 
[[Mto]] mrefu zaidi unaitwa [[Mto Po|Po]] na una [[urefu]] wa [[kilomita]] 652. Mito mingine ni [[Tiber]], [[Mto Arno|Arno]] n.k.
 
[[Ziwa|Maziwa]] makubwa zaidi ni: [[Ziwa la Garda|Garda]] (km2km<sup>2</sup> 367.94), [[Ziwa Maggiore]] (212.51, likiingia Uswisi), [[Ziwa la Como]] (145.9), [[Ziwa Trasimeno|Trasimeno]] (124.29) na [[Ziwa la Bolsena]] (113.55).
 
Kutokana na [[urefu]] mkubwa wa Italia toka [[kaskazini]] hadi [[kusini]], [[hali ya hewa]] ni tofauti sana, kuanzia [[baridi]] kali sana hadi [[joto]] kali sana.
 
== Mikoa ==
Line 330 ⟶ 332:
 
==Maendeleo==
Italia ni kati ya [[nchi iliyoendeleazilizoendelea]], ikiwa na nafasi ya [[nane]] kwa nguvu ya kiuchumi[[uchumi]] [[duniani]], hivyo ni mwanachama wa [[G7]], [[G8]] na [[G20]].
 
==Sanaa na utalii==
[[File:Collage chiese italiane.jpg|thumb|250px|Kuanzia kushoto kwa kufuata mzunguko wa mishale katika saa: [[Kanisa kuu]] la [[Florence]], lenye [[kuba]] la [[matofali]] kubwa kuliko yote [[duniani]];<ref>{{cite web|url=http://www.tripleman.com/index.php?showimage=737 |title=The Duomo of Florence &#124; Tripleman |publisher=tripleman.com |accessdate=25 March 2010}}</ref><ref>{{cite web|url=http://www.brunelleschisdome.com/ |title=Brunelleschi's Dome |publisher=Brunelleschi's Dome.com |accessdate=25 March 2010}}</ref> [[Basilika la Mt. Petro]], [[kanisa]] kubwa kuliko yote duniani, liko [[Vatikani]], nchi inayozungukwa na Italia pande zote;<ref>{{cite web|url=http://www.reidsitaly.com/destinations/lazio/rome/sights/st_peters.html|title=St. Peter's Basilica (Basilica di San Pietro) in Rome, Italy|work=reidsitaly.com}}</ref> kanisa kuu la [[Milano]], la tano duniani kwa ukubwa;<ref>See [[List of largest church buildings in the world]]; note that the #3 entry, [[First Family Church]] building in Kansas, is now a school education complex.</ref> na Basilika la [[Mt. Marko]], [[Venezia]].<ref>{{Cite web|url = http://www.basilicasanmarco.it/WAI/eng/basilica/architettura/interne/fasi_costrutt.bsm|title = Basilica di San Marco|date = |access-date = 10 February 2016|website = |publisher = |last = |first = }}</ref> ]]
PiaItalia nindiyo nchi inayongoza duniani kwa kuwa na mahali pengi (51) pa kimaumbile na pa kihistoria palipoingizwa katika orodha ya [[UNESCO]] ya "[[Urithi wa Dunia]]".
 
Kwa sababu hiyo pia inashika nafasi ya 5 kati ya nchi zote zilizo lengo la [[utalii]].
 
==Watu==
Wananchi wana sifa za pekee kati ya [[Wazungu]] wote, hata upande wa [[DNA]], kutokana na jiografia na historia ya [[rasi]].

Ni kati ya nchi ambamo watu wanatarajiwa kuishi miaka mingi zaidi, lakini pia ni kati ya nchi ambapo [[uzazi]] ni mdogo zaidi: wanaokufa ni wengi kuliko wanaozaliwa.
 
Kutokana na [[umati]] wa Waitalia waliohama nchi hiyo karne za nyuma, sasa zaidi ya watu [[milioni]] 60 nje ya Italia wana asili ya nchi hiyo, mbali na [[raia]] zaidi ya milioni 4 wanaoishi nje.
 
[[Lugha rasmi]] ni [[Kiitalia]], inayotegemea zaidi [[lahaja]] za [[Italia ya Kati]], lakini siku hizi inatumiwa na wananchi walio wengi hata katika mikoa mingine, ambayo kwa jumla ni 20.
 
Upande wa [[dini]], wengi wao (81.2%) ni [[Ukristo|Wakristo]] wa [[Kanisa Katoliki]], wakifuatwa na [[Waorthodoksi]] (2.8%, wengi wao wakiwa [[wahamiaji]], hasa kutoka [[Romania]]) na [[Waprotestanti]] (1.1%, wengi wao wakiwa [[Wapentekoste]]). [[Uhamiaji]] mwingi wa miaka ya mwisho wa [[karne ya 20]] umeleta pia [[Uislamu]] (3.7%) na [[dini]] nyingine.
 
Dini zote zinaachiwa [[Uhuru wa dini|uhuru]] na, tofauti na nchi nyingi za Ulaya, waumini wake wanajitahidi kiasi kufuata [[ibada]] (29% kila [[wiki]]).
 
==Watu maarufu==