Tofauti kati ya marekesbisho "Majadiliano ya mtumiaji:Baba Tabita"

 
:::Kwa kweli tunajiuliza moyoni unaendeleaje na afya yako na tunakuombea upone. Bwana akujalie amani katika mateso pia! --'''[[Mtumiaji:Riccardo Riccioni|Riccardo Riccioni]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Riccardo Riccioni|majadiliano]])''' 10:40, 7 Julai 2018 (UTC)
 
::::Asante kwa kuuliza na kwa maombi yenu. Kimwili nimepona. Bado nahitaji matibabu mengine. Ndiyo sababu sitakuwepo kwenye wikipedia hadi Novemba au zaidi. --'''[[Mtumiaji:Baba Tabita|Baba Tabita]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Baba Tabita#top|majadiliano]])''' 14:40, 8 Julai 2018 (UTC)
62,394

edits