Makaa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 45 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q177463 (translate me)
No edit summary
Mstari 10:
Makaa hutengenezwa kwa kupanga kuni kavu kama rundo na kuifunika kwa udongo bichi. Kuni inachomwa chini lakini udongo huzuia kuwaka kwake hivyo joto la ndani linaangamiza nyevu wa kuni na gesi zote zilizomo ndani ya kuni na kulisha ulimi wa moto. Inayobaki ni karibu [[kaboni]] tupu yenye mashimo nyingi ndani yake yanayosaidia kushika moto baadaye wakati makaa inawashwa.
 
==Viungo vya nje==
 
*[http://www.fao.org/docrep/X5328e/x5328e00.htm Teknolojia rahisi ya kutengeneza makaa]
*[http://www.personal.rdg.ac.uk/~scsharip/Charcoal.htm kuhusu makaa]
*[https://www.youtube.com/watch?v=wtIr0FI4vbo Video kuhusu makaa]
{{stub}}