FORD-People : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: '''FORD-People''' (pia: '''FORD-P''') ni chama cha kisisasa nchini Kenya. Jina ni kifupi cha '''Forum for the Restauration of Democracy for the People'''. FORD-People ilianzishwa 1997...
 
No edit summary
Mstari 8:
Matiba alipata nafasi ya pili katika uchaguzi wa 1992 na chama kikawa chama kikubwa cha upinzani bungeni.
 
==FarakanoKuundwa kwa Ford-P kutokana na farakano Matiba-Shikuku==
Kabla ya uchaguzi wa 1997 farakano likatokea ndani ya FORD-Asili kati ya mwenyekiti Matiba na Shikuku aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama. Shikuku aliyekuwa na wafuasi wengi aliendelea kushika ofisi ya chama. Nyumba ya ofisi ilikuwa mali ya Matiba aliyefukuza ofisi ya chama chake. Lakini Shikuku alienda akishika hati ya kusajiliwa kwa chama.
 
Upande wa kundi la Matiba mwanasiasa Kimani wa Nyoike alikuwa Katibu Mkuu. Bila mawasiliano na Matiba wa Nyoike aliandikisha chama kipya kwa jina la Ford-People kwa sababu aliogopa kubaki bila chama kama Shikuku angefaulu kutetea haki juu ya jina la Ford-Asili. Matiba aliyekata tamaa kuhusu hali ya siasa alikataa hatua hii akajiondoa katika shughuli zote za uchaguzi ujao. Hivyo wa Nyoike alibaki na chama alichokuwa aliandaa kwa upande wa Matiba lakini bila kiongozi huyu.<ref>[http://www.nationaudio.com/elections/politicalparties/Party1.htm Will Nyoike sell Nyachae? - taarifa ya "Nation" 13-05-2002 ilisomwa tar. 5.01-2008]</ref>