FORD-People : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 14:
 
==Uchaguzi wa 1997==
Wanasiasa wengi wa kundi la Matiba hawakumfuata wa Nyoike katika Ford-People bali walijiunga na vyama vingine. Chama kilishika viti vitatu katika bunge la 1997. Wa Nyoike mwenyewe hakufaulu kuingia bungeni. hamaFORD-P kilitokea kama chama kidogo chenye mizizi kati ya Wakikuyu.
 
==Uchaguzi wa 2002==