Mvutano : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
"uzito na masi" si mahali pake hapa, iingie chini ya masi na uzito, tena ilihitaji masahihisho ili ieleweke
No edit summary
Mstari 4:
'''Graviti''' (pia: '''kani ya mvutano''', '''nguvu za uvutano''', '''nguvu mvutano''') ni [[kani]] ya uvutano iliyopo kati ya [[gimba|magimba]] yote ya [[ulimwengu]]. Kila gimba lenye [[masi]] linavuta magimba yote mengine yenye masi.
 
Hii ndiyo sababu ya kwamba tunatembea [[duniani]] badala ya kuelea [[Hewa|hewani]]: kwa sababu masi ya [[dunia]] inatuvuta kuelekea [[kiini]]kitovu chake. Sisi tuna uvutano kwa dunia pia, lakini hali halisi kani hii ni ndogo mno kwa sababu masi yetu ni ndogo kulingana na masi kubwa ya Dunia. Wakati huohuo duniaDunia yetu inavutwa na [[juaJua]] na hii ndiyo sababu ya kwamba duniaDunia inazunguka jua katika [[obiti]] na haiwezi kukimbia mbali nayo.
 
Tukitupa [[jiwe]] hewani litaanguka chini. Hii ni kwa sababu kani ya [[mkono]] ilipeleka jiwe kwenda juu lakini kani ya uvutano wa dunia inalirudisha kwake.
 
Tabia ya kuvutana inaonekana vema kati ya [[duniaDunia]] na [[Mwezi (gimba la angani)|mweziMwezi]]. Dunia ni kubwa, inauvuta mweziMwezi na kuushika kwenye njia yake ya kuzunguka. Lakini wakati huohuo mweziMwezi unavuta pia duniaDunia na hii inaonekana [[Bahari|baharini]] katika mabadiliko ya [[maji kupwa]] na maji kujaa. [[Maji]] ya [[bahari]] inavutwa na mwezi kiasi kwamba sehemu ya bahari iliyo moja kwa moja chini ya mwezi iko [[nusu]] [[mita]] juu ya [[wastani]] wa [[usawa wa bahari]] yote.
 
[[Isaac Newton]] anajulikana kama [[mtaalamu]] aliyeweza kueleza graviti mara ya kwanza kama utaratibu wa msingikimsingi wa sayansi.