Kimondo cha Mbozi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
tahajia
Mstari 8:
Kina maumbile maalum tofauti na vimondo vingine vinavyopatikana ulimwenguni kwa kuwa hiki ni hasa cha chuma. [[Chuma]] ni 90.45%, [[nikeli]] 8,69%, [[sulfuri]] 0,01% na [[fosfori]] 0,11% ya masi yake. Ndani yake vipande vidogo vya [[silikati]] vinapatikana.<ref>[https://onlinelibrary.wiley.com/doi/abs/10.1111/j.1945-5100.1996.tb02036.x<nowiki> Edward J. OLSEN, Robert N. CLAYTON, Toshiko K. MAYEDA, Andrew M. DAVIS, Roy S. CLARKE Jr., John T. WASSON; Mbosi: An anomalous iron with unique silicate inclusions], jarida la </nowiki>'''''Meteoritics & Planetary Science, Volume31, Issue5''''', '''''September 1996'''''</ref>
 
Wenyeji wa eneo walijua kimondo hiki tangu muda mrefu; kilielezwa kisayansi mara ya kwanza mwaka 1930 na wakati ule hapakuwa na dalili za [[kasoko]]; kwa hiyo inawezekana ya kwamba ama kilifika kwenye uso wa Dunia kwa [[pembe butu]] sana na kuvingirika hadi kukaa au muda wa kugonga uso wa dunia ni mrefimrefu sana hadi dalili zote za kasoko aliliaasilia zilipotea tayari kutokana na [[mmomonyoko]].
 
==Viungo vya Nje==