Kasoko : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
 
* [[kasoko ya mlipuko]], kwa mfano wa bomu iliyolipuka ndani ya ardhi au juu ya uso wa ardhi
* [[kasoko ya dharuba]] (mgongano) kutokana na kugongwa kwa uso la gimba na gimba nyingine, kwa mfano kama Dunia, sayari nyingine au Mwezi imegongwa na [[meteoridi]] au [[asteroidi]]
* [[Kasoko ya volkeno]]: shimo ambako [[zaha (lava)]] inatoka nje
 
Kasoko kubwa zaidi duniani zilisababishwa na [[asteroidi]] zilizogonga Dunia yetu. Kasoko kubwa iliyojulikana hadi 2006 ilikuwa kasoko ya [[Vredefort]] nchini ([[Afrika Kusini]]) yenye umbo la yai ya urefu wa 320 km na upana wa 180 km.
 
Mwaka 2006 wataalamu waligundua kasoko kubwa zaidi yenye kipenyo cha 500 km huko [[Antarktika]] katika picha zilizopigwa kutoka angani. Iko chini ya barafu ya Antarktika katika eneo la Wilkes Land inatajwa kwa kifupi cha WLIC (kiing.: Wilkes Land impact crater). Kasoko ya WLIC inaaminiwa imesababishwa na [[asteroidi]] yenye kipenyo cha takriban 5 km.
 
<gallery>