Kasoko ya dharuba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 20:
ukingo wake unainuliwa juu ya uwiano wa mazingira yake. Duniani kasoko zinapatikana mara nyingi kutokana na milipuko wa volkeno au milipuko mingine.
 
Katika magimba ya angani ambayo inayenye uso thabiti kuna kasoko nyingi kama matokeo ya kugongwa na magimba kutoka anga la nje. Kwa mfano kwenye Mwezi wa Dunia kuna kasoko nyingi zilizosababishwa na migongano ya asteroidi au vimondo. Pigo la kitu kigumu linarusha mata iliyopo mahali pa mgongano ikipangwa pembeni ya tundu hili kwa umbo la ukingo wa mviringo.
 
Duniani kasoko nyingi kutokana na mishtuko ya aina hii zinasawazishwa baada ya muda fulani kutokana na mmomonyoko wa mvua na upepo; kwenye magimba pasipo na angahewa kama Mwezini zinabaki kwa muda mrefu.