Tofauti kati ya marekesbisho "Kasoko ya dharuba"

58 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
* Chini-kulia: Kasoko ya Tycho kwenye Mwezi
|}[[Picha:Impact movie.ogv|250px|thumb|Kutokea kwa kasoko kutokana na dharuba (filamu ya maabara ya NASA)]]
'''Kasoko ya dharuba''' (ing. impact crater) ni tundu kwenye ardhi kutokana na mshtuko wa kugongwa na gimba. [[Kasoko]] ina umbo la duara; katikati ni kama shimo na
ukingo wake unainuliwa juu ya uwiano wa mazingira yake. Duniani kasoko zinapatikana mara nyingi kutokana na milipuko wa volkeno au milipuko mingine.
 
 
Duniani kasoko nyingi kutokana na mishtuko ya aina hii zinasawazishwa baada ya muda fulani kutokana na mmomonyoko wa mvua na upepo; kwenye magimba pasipo na angahewa kama Mwezini zinabaki kwa miaka mamilioni.
 
==Tazama pia==
*[Kasoko]]
 
==Tanbihi==
<references/>
 
[[jamii:Astronomia]]