Saa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
<centersup>[[Picha:The Magma - 21st Century Watch Design.jpg|thumb|Saa ya Mshale]]<supcenter><small>Kwa chombo cha kupimia wakati tazama [[saa (ala)]]</small></sup></center>
[[Picha:The Magma - 21st Century Watch Design.jpg|thumb|Saa ya Mshale]]
 
'''Saa''' ni kipimo cha [[wakati]]. Si kipimo cha [[SI]] kamili kama ilivyo [[sekundi]] lakini ni kawaida kote duniani pia katika matumizi ya kisayansi.
 
Mstari 8:
 
== Historia ==
=== SaaaSaa ya mkono ===
 
Dhana ya saa ya mkono ina historia ndefu toka wakati wa uzalishaji wa saa za mwanzo kabisa katika karne ya 16. [[Malkia Elizabeth I]] wa [[Uingereza]] alipokea saa ya mkono kutoka kwa [[Robert Dudley]] mnamo mwaka wa 1571. Mwaka wa 1771 saa ya kujiendesha bila kutumia nishati ya betri (automatiki) ilifumbuliwa.<ref name=":0">{{Cite Web|url=https://greatwatches.nyc/watch-type-list/|title=Watch Types|author=Great Watches NYC|date=|language=en-US|work=Great Watches NYC|accessdate=10 July 2018}}</ref> Saa hizi zilitumia msuko suko wa mkono mtu akitembea na mpaka wa leo inatumika na watu wengi. Saa ya mkono ya zamani kabisa iliyopo hadi hivi sasa (iliyokuwa ikiitwa saa ya bangili) ilitengenezwa mwaka 1806. Mwanzoni saa za mkono zilikuwa zikivaliwa na wanawake tu, wakati wanaume walikuwa wakitumia saa za mfukoni hadi karne ya 20.<ref name="Evolu">{{cite web|url=http://www.vintagewatchstraps.com/wristwatches.html|title=The Evolution of the Wristwatch}}</ref>
=== Saaa ya mkono ===
Dhana ya saa ya mkono ina historia ndefu toka wakati wa uzalishaji wa saa za mwanzo kabisa katika karne ya 16. [[Malkia Elizabeth I]] wa [[Uingereza]] alipokea saa ya mkono kutoka kwa [[Robert Dudley]] mnamo mwaka wa 1571. Mwaka wa 1771 saa ya kujiendesha bila kutumia nishati ya betri (automatiki) ilifumbuliwa. Saa hizi zilitumia msuko suko wa mkono mtu akitembea na mpaka wa leo inatumika na watu wengi. Saa ya mkono ya zamani kabisa iliyopo hadi hivi sasa (iliyokuwa ikiitwa saa ya bangili) ilitengenezwa mwaka 1806. Mwanzoni saa za mkono zilikuwa zikivaliwa na wanawake tu, wakati wanaume walikuwa wakitumia saa za mfukoni hadi karne ya 20.<ref name="Evolu">{{cite web|url=http://www.vintagewatchstraps.com/wristwatches.html|title=The Evolution of the Wristwatch}}</ref>
[[File:Campaign Watch 1915.jpg|thumb|right|Tangazo la saa inayotengenezwa na[[Mappin & Webb]] mwaka 1898.]]
 
Line 17 ⟶ 16:
Kawaida saa ubora wa saa unahusishwa na mambo mbalimbali kama vile saa inavyoweza kuzuia maji. Shirika la Kimataifa la Usanifishaji (kwa kifupi ISO) limetoa vipimo maalum vya saa zinavyozuia maji.
 
Saa zaweza kugawa katika makundi mawili makuu kuzingatia kizazi; saa za zamani (analog) na saa za kisasa/za dijitali ambazo ni za kielekitroniki.<ref>{{Cite Web|url=https://greatwatches.nyc/digital-vs-analog-which-is-better/|title=Digital vs Analog Watch - Which is Better?|author=Great Watches NYC|language=en-US|date=17 March 2018|work=Great Watches NYC|accessdate=10 July 2018}}</ref>
 
Pia zinaweza gawa makundi saba kulingana na mtindo na utenda kazi;
 
Pia zinaweza gawa makundi makundi saba kulingana na mtindo na utenda kazi;<ref name=":0" />:
* saa za kujiendesha (automatiki) - saa zisizo hitaji betri
* saa za kronogilafia ''(chronograph watches) -'' saa zijulikanazo kwa Kingereza kama ''"Stop-Watch"'' za kupimia mda mfupi hasa wakati tendo au tukio kama mbio zinafanyika
* saa zisizo na mengi ''(minimalist watches) - saa zisizo na marembesho mengi''
* Saasaa za Quartz - saa zinazo tumia tecknoloia ya quartz
* Saasaa za kivazi - saa za kisanaa zinazolenga mvuto wa kipekeekipeee
* Saasaa za kifahari - saa zenye bei ghali mno zinazoundwa zikilenga matajiri na mala nyingi huendeshanahuendansha na vitu za kifahari kama magari na simu
* Saasaa zinazotumia nishati ya jua
 
 
==Marejeo==
{{Marejeo}}
 
== ViuongoViungo vya nje ==
 
* [http://www.watkinsr.id.au/david.html Utengenezaji saa za Kimarekani na Kiswisi mwaka 1876]
* [http://www.sil.si.edu/digitalcollections/HistoryCultureCollections/SIL-029-015/pdf/SIL-029-015.pdf Kampuni za zamana na sasa za kutengeneza saa Marekani]
Line 41 ⟶ 37:
* [https://www.nytimes.com/2013/10/23/fashion/wrist-watches-from-battlefield-to-fashion-accessory.html Historia ya saa toka kwenye uwanja wa vita hadi kwenye mitindo]
* [http://www.historyofwatch.com/ Historia ya saa ya mkono na saa ya ukutani]
 
 
 
{{mbegu-sayansi}}