Vigano : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 1:
'''Vigano''' ni [[hadithi]] fupifupi zinazosimuliwa kwa lengo la kueleza makosa au maovu ya [[watu]] fulani ili kutoa [[maadili]] mema yanayofaa kwa [[wanajamii]].

Masimulizi ya vigano mara nyingi hutumia [[methali]] kama msingi wake wa maadili. Methali hiyo ndiyo hujengewa masimulizi yanayolenga kumwonya mwanajamii anayetenda kinyume na maadili ya jamii yake.
 
Kwa kawaida vigano hujengwa juu ya tukio (kisa kimoja) moja ambalo hutumiwa kuelezea [[maisha]] halisi ya [[jamii]] husika.
 
==Tazama pia==
*[[Fasihi simulizi]]
Nataka mfano vigano kuhusu kauli isemayo " umdhanie siye kumbe ndiye !
 
[[Jamii:Fasihi]]
[[Jamii:Sanaa]]