Dunia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
→‎Uso wa dunia: namba za kilomita
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 14:
Ni mahali pekee katika [[ulimwengu]] panapojulikana kuna [[uhai]] ulioaminiwa kuanza miaka bilioni 3.5 iliyopita<ref>Schopf, JW, Kudryavtsev, AB, Czaja, AD, and Tripathi, AB. (2007). ''Evidence of Archean life: Stromatolites and microfossils.'' Precambrian Research 158:141–155.</ref>.
 
Uhai unapatikana kwa [[spishi]] milioni 10-14 za [[viumbe hai]] pamoja na [[binadamu|wanadamu]] waliokadiriwa kuwa sasa bilioni 7.2<ref>http://www.worldometers.info/world-population/</ref>.
 
== Umbo la dunia ==