[[File:Charcoal pile 05.jpg|thumb|280px|Kuni inapangwahuwa zinapangwa kwa rundo inayofunikwalinalofunikwa baadaye kwa [[udongo]].]]
[[Picha:Charbon de bois rouge.jpg|thumb|280px|Makaa ya kuwakayakiwaka.]]
'''Makaa''' ni [[dutu]] [[mango]] yenye kiwango kikubwa cha [[kaboni]] inayotumiwa kama [[fueli]]. Kwa kawaida inapatikana kwa kupashia [[moto]] [[kuni]] na kuzia [[hewa]] isiingie. Ni fueli muhimu kwa watu wengi katika nchi za Afrika. Ilikuwa chanzo cha [[nishati]] ya kupikia na kupashia moto katika nchi nyingi za [[dunia]] kabla ya [[makaamawe]] kusambaa kwa rahisiurahisi zaidi tangu upatikanaji wa [[usafiri]] wa kisasa kama [[treni]] na [[meli]]. Bado ni fueli muhimu kwa [[watu]] wengi katika nchi za [[Afrika]].
Makaa huwa na faida juu yakuliko kuni hasa kutokana na kiwango kikubwa cha nishati ndani yake kulingana na [[uzito]] na [[mjao]] wake. Faida nyingine ni ya kwamba inawaka bila kutoa [[ulimi]] wa moto.
Kwa hiyo matumizi yake yameongezeka kwenye [[miji]] iliyo mbali na [[misitu]] kutokana na [[gharama]] za kusafirisha mizigo. Matumizi ya makaa yalisababisha [[Uharibifu wa mazingira|uharibifu]] wa misitu katika nchi nyingi.
Makaa hutengenezwa kwa kupanga kuni kavu kama rundo na kuifunikakulikanda kwa [[udongo]] bichimbichi. Kuni inachomwazinachomwa chini, lakini udongo huzuia kuwaka kwake, hivyo [[joto]] la ndani linaangamiza nyevu[[unyevu]] wa kuni na [[gesi]] zote zilizomo ndani ya kuni na kulisha ulimi wa moto. Inayobaki ni karibu [[kaboni]] tupu yenye mashimo nyingimengi ndani yake yanayosaidia kushika moto baadaye wakati makaa inawashwayanapowashwa.