Mkoa wa Manyara : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 14:
Sensa zinaonyesha kwamba ni kati ya [[mikoa ya Tanzania]] yenye ongezeko kubwa la wakazi. Pia ni kati ya mikoa yenye [[maambukizi]] machache zaidi ya [[Ukimwi]].
 
Wenyeji wa mkoa huu ni pamoja na [[Wairaqw]], [[Wamasai]], [[WasonjoWambugwe]], [[Wafyomi]] na [[Wabarbaig]] wakijihusisha na [[shughuli]] za [[kilimo]] na [[ufugaji]] kama njia ya kuingiza kipato chao cha kila siku.
 
== Wilaya ==