Wambugwe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Wambugwe''' (au ''WamboweVambowe'') ni [[kabila]] la [[watu]] wa [[Tanzania]] wanaoishi katika [[Mkoa wa Manyara]] na hata katika [[mkoa wa Arusha]]. Wanapatikana hasa [[kaskazini]] mwa [[wilaya ya Babati,Tarafa ya Mbugwe]] katika [[bonde la ufa]].
 
Kabila la Wambugwe ni wa jamii ya [[Wabantu]] na inasemekana walitokana na [[Warangi]]. [[Lugha]] yao ni [[Kimbugwe]] na inafanana na [[Kirangi]].