Mmomonyoko : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Grand_Canyon_cloud.jpg|right|thumb|200px|Bonde la [[mto wa Colorado]]/[[Marekani]] (Grand Canyon) ni tokeo la mmomonyoko wa maji]]
'''Mmomonyoko''' (''kwa [[ing.Kiingereza]] erosion'') ni hali ya kuvunjika au kumegekamegeka kwa [[udongo]] au [[Mwamba (jiolojia)|mwamba]] kutokana na athira ya [[upepo]], [[maji]], [[barafu]], [[joto]] au mwendo wa [[ardhi]]. [[Kazi]] za kibinadamu[[binadamu]] zimekuwa pia sababu muhimu ya mmonyokommomonyoko.
 
Katika [[mazingira]] yanayokaliwa na binadamu, na hasa kwa [[kilimo]], mmomonyoko unaunaleta hatari.
 
== Mmomonyoko wa kiasiliasili ==
Mmomonyoko ni kati ya nguvu muhimu zinazofinyanga uso wa [[dunia]]. Uso wa mabonde na [[milima]] ya dunia ni matokeo ya mmomonyoko.
 
 
== Aina za mmomonyoko ==
 
=== Mmomonyoko wa maji ===
Line 33 ⟶ 30:
 
Upepo ukibeba machanga unaweza kusababisha hata mmomonyoko kwa miamba. Mchanga unarushwa na upepo kwa kasi kubwa dhidi ya mwamba na kuisagasaga.
 
=== Mmomonyoko wa barafu ===
Line 42 ⟶ 38:
 
== Mmomonyoko uliosababishwa na wanadamu ==
[[Picha:Mmomonyoko_Kondoa.JPG|thumb|200px|Mmomonyoko kwenye [[Wilaya ya Kondoa]].]]
Mabadiliko kutokana na kazi za kibinadamu yalisababisha mara nyingi mmomonyoko wa ghafla unaoshtusha na kuleta hasara. Mfano ni kukata miti hasa kwenye mitelemko ya milima au kulima milimani. Kazi hizi zinapunguza au kuondoa kabisa funiko la mimea na kuacha udongo bila hifadhi. Maji ya mvua na upepo hazina vizuizi tena.
 
Matokeo yake ni mafuriko ya ghafla kwa sababu wakati wa mvua maji huteremka haraka na mara moja yakichimba mifereji, kuharibu nyumba, kuua watu na kuondoa ardhi yenye rutuba kwenye mashamba.
 
Njia nyingine ni mmomonyoko kutokana na kuzidi kwa mifugo. Kazi ya kukanyaga kwa miguu mingi hasa kwenye njia zilezile zinazotumika kuzunguka kati ya boma, maji na sokoni kumeleta uharibifu mwingi. Kwato za mifugo kama ng'ombe, mbuzi, punda na wanyama wengine wafugwao huathiri udongo mara wanapokanyaga mara kwa mara na hivyo hufanya udongo huo kuwa rahisi kusombwa na wakala wa mmomonyoko, kama vile maji, barafu na upepo.
 
 
{{mbegu-jio}}
[[Jamii:Jiolojia]]
[[Jamii:Ekolojia]]