Wambugwe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
'''Wambugwe''' (au ''Vambowe'') ni [[kabila]] la [[watu]] wa [[Tanzania]] wanaoishi katika [[Mkoa wa Manyara]] na hata katika [[mkoa wa Arusha]]. Wanapatikana hasa [[kaskazini]] mwa [[wilaya ya Babati]], [[Tarafa ya Mbugwe]] katika [[bondeBonde la ufaUfa la Afrika Mashariki]].
 
Kabila la Wambugwe ni wa [[jamii]] ya [[Wabantu]] na inasemekana walitokana na [[Warangi]]. [[Lugha]] yao ni [[Kimbugwe]] na inafanana na [[Kirangi]].
 
[[Mwaka]] [[1999]] walikadiriwa kuwa 24,000. Wengi wao ni [[wafugaji]] na [[wakulima]].
 
{{Makabila ya Tanzania}}
{{mbegu-utamaduni-TZ}}
 
{{DEFAULTSORT:Mbugwe}}