Mboji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[File:Compost site germany.JPG|thumb|[[Jalala]] la pamoja [[Ujerumani]].]]
'''Mboji''' (pia: "matanda"; kwa [[Kiingereza]] ''humus, compost'') ni [[mata]] [[mata ogania|ogania]] katika [[udongo]]. UnafanywaInafanywa na vipande visivyo na [[uhai]] tena vya [[mimea]] na [[wanyama]]. UnatokeaInatokea katika mchakato wa kuoza kwa mimea na pia wanyama. Ni sehemu muhimu ya udongo maana unaongezainaongeza [[rutuba]] wakeyake. Tofauti na [[mchanga]] mtupu unawezainaweza kushika [[maji]] kama [[sifongo]]. Pia unaina [[virutubishi]] vingi ndani yake pamoja na [[nitrojeni]].
 
Mwanzoni mboji bado huwa na mabaki yanayoonekana kama vipande vya [[majani]] au [[tawi|matawi]]. Kadiri vinavyoendelea kuoza vinavunjwa na wanyama wadogo wanaoishi humo kama [[sisimizi]], [[minyoo]], [[wadudu]] wa aina nyingi pamoja na [[bakteria]] na [[fungi]], halafu havionekani tena vile na inayobaki ni mata [[nyeusi]]-nyeusi.